Isack bruno
Senior Member
- Dec 12, 2016
- 192
- 207
kweli kabisa sema stake nilikuwa sina.ngoja nibangaize weekend ijayo.ungeifuata ile multiple ingetoa 15 mkuu
Kwa anaejua jinsi ya kutumia safaricom ku-deposit 1xbet naomba anipe procedures zote plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Madogo walikuwa na odds zaidi ya 20 dhidi ya Ajax. Nimechukua 1.06 za Ajax najuta sana hapa.Anachokifanya ajax mungu anamuona kwa kweliView attachment 1000468
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mdau anaitwa ALFIN aliitupia jana,hit zilikuwa 14 sijui kama watu walifwata.Mi nimeitumia kwa mechi za jana nimehit 11
We acha tu sema wanaweza shinda ngoj tuon dk 90Madogo walikuwa na odds zaidi ya 20 dhidi ya Ajax. Nimechukua 1.06 za Ajax najuta sana hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyew nimejisahau mpk dakika zikayoyoma daah,,,ntajitahidi kutupia mapema
Sawa, tupo pamojaMi mwenyew nimejisahau mpk dakika zikayoyoma daah,,,ntajitahidi kutupia mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
nilishatupia link ukiifuata utaona sehemu ya kudownload app
PSV kachana mkeka wangu wa kwanza wa 30k na mwenzie ajax kachana mkeka wangu wa 50k kwa draw. Ningeweka kinyume chake kwa odds walizokuwa nazo hao underdog leo ningekuwa na mamilion. Risk takers sijui nafeli wapi?
Kafufuka aiseeTottenham anakufa na dunia
Kafufuka aisee