*EDIT AU PITA NAOA KAMA ULIVYO*I can win 100K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Jong PSV - Maastricht
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.14
Juventus - Chievo
1X2 and Totals - FT (1.5) (1 - Over)1.25
Milwaukee Bucks - Dallas Mavericks
Moneyline - FT incl OT (1)1.11
Lamia - Panathinaikos
2-Way Handicap (Panathinaikos +1.5) - FT (2)1.10
Maccabi Tel Aviv - Beitar Jerusalem
Clean Sheet Away Team - FT (No)1.10
Kasimpasa SK - Rizespor
Clean Sheet Away Team - FT (No)1.10
Bolton Wanderers - West Brom
Win to Nil Home Team - FT (No)1.07
Le Havre - Red Star FC 93
Total Score Over/Under - FT (4.5) (Under)1.06
New York Knicks - Oklahoma City Thunder
Moneyline - FT incl OT (2)1.22
Doxa Katokopia - AEK Larnaca
Clean Sheet Home Team - FT (No)1.10
Accept any odds changes?Yes
21000
Odds: 3.20
Potential winnings: 67 294.16
50% win bonus: 33 647.08
Payout: 100 941.23
[emoji91][emoji91][emoji1241] *IMMA FABO* [emoji767] [emoji1241][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa... 1xbet sometimes wana UTU kidogo hapa pale wanatupa opinion ya kuuza mkeka hata kwa hasara.. Fikiria huyo Wakusoma aliyeweka laki saba ili apate laki tisa yupo ktk hali gani! Lakini kama ingekuwa 1xbet angeuza betslip yake hata kwa laki nne au tano baada ya kuona goli alipatikani.Apige marufuku kabisa hizi local betting company zife na international zibaki kama 1xbet. Sababu hizi local bet zimezidi kwa fitna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali ilivyo sasa, kipaumbele cha kwanza cha Mkulu ni kodi! Na asikwambie mtu jamaa ninachangia billions of shlngs per month! Wakiban tu, mapato TRA yatadrop vibaya mno..Apige marufuku kabisa hizi local betting company zife na international zibaki kama 1xbet. Sababu hizi local bet zimezidi kwa fitna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa... 1xbet sometimes wana UTU kidogo hapa pale wanatupa opinion ya kuuza mkeka hata kwa hasara.. Fikiria huyo Wakusoma aliyeweka laki saba ili apate laki tisa yupo ktk hali gani! Lakini kama ingekuwa 1xbet angeuza betslip yake hata kwa laki nne au tano baada ya kuona goli alipatikani.
Ina maana wenye option iyo ni meridian na 1xbet tu,kampun zingine hazina
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza sikujua kama meridian wanayo hiyo option.. ila kapuni nyingi za kitanzania hawana.
[emoji23] [emoji23]Kwa hali ilivyo sasa, kipaumbele cha kwanza cha Mkulu ni kodi! Na asikwambie mtu jamaa ninachangia billions of shlngs per month! Wakiban tu, mapato TRA yatadrop vibaya mno..
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu,naomba kufahamu kama kuna mtu bado anabet kwa kutumia 1xbet,mana kuna sehem nimekwama kwenye suala kutoa hela,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakwama kutoa mana nili deposit kwa kutumia bitcoin,saiv najarbu kutoa inagoma,nimewachek wamesema inabid nijarbu kufanya minor deposit kuptia njia nyingne ili niweze kutoa,kwa bahat mbaya sina mkwanja wa kudeposit mara nyingne,natafta msaada ili nitimie mtu hela kwenye akaunt yake then anitumie kuptia m-pesa yanguUnakwama wapi mkuu?
Chichimizi
Betpawa wamepunguza points 10 za kikapu over/under daaah....uhuni huu....
Nakwama kutoa mana nili deposit kwa kutumia bitcoin,saiv najarbu kutoa inagoma,nimewachek wamesema inabid nijarbu kufanya minor deposit kuptia njia nyingne ili niweze kutoa,kwa bahat mbaya sina mkwanja wa kudeposit mara nyingne,natafta msaada ili nitimie mtu hela kwenye akaunt yake then anitumie kuptia m-pesa yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenikwaza kwa kweli....Uhuni kama huu ndo unanifanya niache hii kazi mpaka pale Mrusi atakapoweka mambo sawa.
Hivi inawezekanaje mtu akupangie namna ya kubet?