kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
zifate russia [emoji12][emoji12][emoji12]Wadau naomba msaada wanaotumia 1xbet unatoa vp pesa? nmb mastercard wanasema siwez kupokea kutoka kweny hiyo kampuni, na PayPal wanasema kwa tanzania ninaweza tu kudeposit na siyo kuwithdraw.
Naombeni msaada wazoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usisumbuke mimi nimeacha kabisa haitoki ng'oo tangu mfumo wa simu ufe haiwezekani nimeuliza had e-mail wasapu nk hivi nipo mbioni kujisajili Kati ya meridian premier naangalia ipi nzuri hasa kuwithdraw 1xbet jitoe mkuu au hifadhi ikirudi option ya simu betWadau naomba msaada wanaotumia 1xbet unatoa vp pesa? nmb mastercard wanasema siwez kupokea kutoka kweny hiyo kampuni, na PayPal wanasema kwa tanzania ninaweza tu kudeposit na siyo kuwithdraw.
Naombeni msaada wazoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usisumbuke mimi nimeacha kabisa haitoki ng'oo tangu mfumo wa simu ufe haiwezekani nimeuliza had e-mail wasapu nk hivi nipo mbioni kujisajili Kati ya meridian premier naangalia ipi nzuri hasa kuwithdraw 1xbet jitoe mkuu au hifadhi ikirudi option ya simu bet
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee wa atletico...tentententeJuve naye yan kitimu kidg hiv mpk sahv ni goli moja tuuu
Nashukuru mkuu, meridian na premier zote mm mtumiaji hazina longo longo, ziko poa.
Ila kuna mdau mmoja anasema inawezekana kupitia Equity bank
Sent using Jamii Forums mobile app
Premeir wikiend ni wavivu kulipa ila siku ingn labda netwrk icheze tu1xbet option nyingi kwangu ni Pigo world cup mwezi mzima sijatumia hela ya mfukoni kwangu kila siku nilikua napiga 70 au 90 option ya Card Tuu hawa wengine option chache mnoo mimi bado sijaamua nielekee wapi premear wanalipa baada ya mdaa gani ukiwithdraw
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera mkuu..mm Leo nacgungulia tuuLeo juve yupo vizur na mm...kakitupia kingn