Commred chichimizi
Member
- Jan 20, 2019
- 55
- 28
Tulikuwa huko na ukatu Remove na sasa unatuwekewa link tuje huko, umetufanya sie watoto..
Tulikuwa huko na ukatu Remove na sasa unatuwekewa link tuje huko, umetufanya sie watoto..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] kumbe aliwatoaTulikuwa huko na ukatu Remove na sasa unatuwekewa link tuje huko, umetufanya sie watoto..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu hakuna shida tupo Pa1 ila sie tupo tuu na kina Avoid, Kidikudi, Honestty na kina Imma fabo na wengineo tunalisukuma jukwaa kwa ajili ya kanji....Labda makosa ya kiufundi
Chichimizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] kumbe aliwatoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee baba unaambiwa fagio limepita kama lote aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waturuki leo wamefix match ***** zao si buree[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Mkuu we acha tu leo uhuni ndio umetawala nawapiga bann rasmi waturuki.Hata Wagiriki pia! Lamia sio wa kumfunga Panathinaikos.. match fixing ni hatari mzeee
Fixing mkuu. Wametuchezea akili leo. Wengi watakuwa wamepigwa sana kwenye hii game ukizingatia leo match chache.Duh nilihic mapema tu kua hii mechi haitakua na zaidi ya goli 3 nikaitema....over 2.5 ilikua na 1.45 odds....tips nying wameweka 3+ golzView attachment 1001488
Mi nilichagua chache kwenye zile nilizotuma humu mana nakijiua kiligi chao cha kibiashara fulan hiv nikaweka mana ni wapuuzi hawa sanaFixing mkuu. Wametuchezea akili leo. Wengi watakuwa wamepigwa sana kwenye hii game ukizingatia leo match chache.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app