Kuna sehemu pale wameandika transfer to a friend... Unamuhamishia mtu unaemuamini na mwenye uwezo wa kuwithdraw
Usi hangaike na Equity bank hawapokei pesa toka betting companies wacheki bancAbc ama FNBNMB wanazingua, labda niulize Equity bank kama wanaruhusu kupokea pesa kutoka hiyo kampuni, kama wanaruhusu ntajiunga nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaw hawakosekan km mimi jana mechi ya australia wameshindwa kupata hata bao moja
Tatizo kutoa aisee, ila ntapambana kwa kadri niwezavyo kutafuta namna ya kuitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bet woooonHii ligi nayo sijui italeta ya supu, ngoja tuoneView attachment 1001591
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kumgonga tu huyu jamaa kote kote,,, unavizia odds 2 unajilipuaaaaAiseee....View attachment 1001640
Kabisa Mkuu, mpaka akae sawaNi kumgonga tu huyu jamaa kote kote,,, unavizia odds 2 unajilipuaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi nimeiangalia mwanzo mwisho.... Wangukuwa na umakini kidogo usingesena haya...goli 5 zingefika bursaspor wamekosa goli nyingi tu hata fernerbacheDuh nilihic mapema tu kua hii mechi haitakua na zaidi ya goli 3 nikaitema....over 2.5 ilikua na 1.45 odds....tips nying wameweka 3+ golzView attachment 1001488
Aiseee,,,hii ndoano niliweka hapaKabisa Mkuu, mpaka akae sawa