The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Madrid anashinda leo
Kama sio 3-0 basi atarusu goli moja la bahati mbaya iwe 3-1
Eka nyumba+kiwanja+mke kama unae
Hahaha ... game si bado lkn mkuu?Hiv Girona anichanie mkeka wangu leo kweli?
Nilikua nauliza boss nione maoni
sawa Chief ... akikuchania basi jua na mm huku nimechana.Nilikua nauliza boss nione maoni
Huyu Fenerbahce na mwenzake panathinaikos walipewa odd za kijinga kumbe hamna kitu
Inaeza ikatoa mana first leg Fene alipigwa kimoja...anaeza toa 2 au ikawa 1-1 llote linaeza tokea...lets wait
Duh kwa style hii sishangai wanaomiliki makampuni ya kubet wakiwa matajiri. Hiyo game ya madrid kati ya mimi na wewe lazima mmoja mkeka wake uchanike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima tugawane hasaraNdoano unaweza pia ukaziweka moja moja. 80% wakujivika mabomu kazi kwenu View attachment 1003836
Hahaaa Mkuu hilo ni Bomu, ukijivika unasubiria mshindo Wa mlipuko. HahaaaDuh kwa style hii sishangai wanaomiliki makampuni ya kubet wakiwa matajiri. Hiyo game ya madrid kati ya mimi na wewe lazima mmoja mkeka wake uchanike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima tugawane hasara View attachment 1003842
.
Bangi za wazi hz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1003859
Sent using Jamii Forums mobile app
Hlf anajifanya ana clinic ya betting....[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Itakua ni clinic ya wazinziHlf anajifanya ana clinic ya betting....[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]