Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tego
IMG_20190124_130549_899.jpg
IMG_20190124_125344_041.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sassoulo vs cagliari 1
freiburg vs hoffenheim 2x
wolfburg vs b.leverkusen 1x
blckburn vs hullcity 1x
bromley vs eastleigh 1
dumbarton vs montrose 1
newcastle vs watford 2x
norwich vs sheffield utd 1
portmouth vs qpr 2
nantes vs st.ettien 2x
leganes vs eibar 1
werder bre vs eintracht fra 1 or 2
dijon vs as monaco 1x
guingamp vs reims x
ac milan vs napoli 2
cercle brugge vs st.tuden 1x
Cc:ifran,troublemaker,joanah n.k
kabla jiwe ajafyekelea mbali biashara yetu tuhakikishe hizi mil200 tumezichukua.
NATOKA IVI PLSE MCHANGO WENU NI MUHIMU HAPA.kabla sijastake.
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mkuu, samahan kwa usumbuf wowote.
Mimi nilijiunga 1xbet mwezi wa 12 mwaka 2018. Nikawa nabet kidogo kidogo naliwa, na nilikuwa natumia mastercard yangu ya nmb kudeposit. Sasa iko siku nikala hela nikataka kutoa, matatizo yakaanzia hapo. Ikaonekana nmb hawaruhusu kuwithdraw pesa kutoka makambuni ya kubet.
Nikajaribu PayPal lakin bado my request for withdrawal ilikuwa rejected by operator japo 1xbet walikuwa wanaidhinisha request yangu.
Sasa mkuu naomba nisaidie ww unatumia payment method ipi inayokubali kuwithdraw pesa kwa Tz.
Nashukuru.
Acha kufananisha 1xbet na hivyo vikampuni vya uchochoroni wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau humu ndani naona nyuzi za kupeana maelekezo sijui ya 1xBet namna ya kutumia zinakuwa nyingi kuliko lengo la huu uwanja! Nashauri tujaribu kujiongeza jamani! Humu ndani tupeane possible winnings hayo mengine ya sijui namna ya kuweka pesa kwenye account watu wajiongeze!

Tatizo Uvivu wa Wabongo wengi tunapenda sana Kitonga yani kila kitu tunauliza unakuta sehemu inaandikwa kabisa Enter phone number lakini mtu anakuuliza eti hapo unaweka namba ya simu 🤬🤬🤬Mm nilijiunga 1x bet mwenyewe, nikadeposit mwenyewe, wafungia mobile payments nikaenda bitcoins nikadeposit mwenyewe! Yani hata kama Kuuliza uliza lakini sio kila kitu, na sio kila saa Yani vitu vinaelekezwa humu daily ila watu bado wanauliza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
1. Sasuolo vs Cagriali........ SASUOLO WIN...
2. Blackburn vs Hull city...... HULL CITY WIN OR DRAW
3. Norwich vs Sheffield United..........Norwich win
4. Portsmouth vs QPR...............QPR win
5. Newcastle vs Watford..................Watford win
6. Leganes vs Eibar....................Leganes win
7. werder bre vs eintracht fra .................werder bremen win
8. Cercle bruge vs Truiden.................... Truiden win
9. AC mlan vs Napoli........................Napoli win

Kila la kheri mkuu. Utanikumbuka kwa book 5. Ukitaka ball possession, and attack strength pia zipo.
 
Habari mkuu, samahan kwa usumbuf wowote.
Mimi nilijiunga 1xbet mwezi wa 12 mwaka 2018. Nikawa nabet kidogo kidogo naliwa, na nilikuwa natumia mastercard yangu ya nmb kudeposit. Sasa iko siku nikala hela nikataka kutoa, matatizo yakaanzia hapo. Ikaonekana nmb hawaruhusu kuwithdraw pesa kutoka makambuni ya kubet.
Nikajaribu PayPal lakin bado my request for withdrawal ilikuwa rejected by operator japo 1xbet walikuwa wanaidhinisha request yangu.
Sasa mkuu naomba nisaidie ww unatumia payment method ipi inayokubali kuwithdraw pesa kwa Tz.
Nashukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tafuta mtu akutumie pesa Mpesa halafu wewe umtumie stake kupitia huduma yao inayoitwa Transfer to a friend! Fanya hvyo maana hapo hautoweza kutumia njia nyingine yoyote coz watakwambia u withdraw kwa njia uliyotumia kudeposit

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Njia nyingine kama ipo inayokubali kuwithdraw kwa hapa tz inawezekana kubadili, maana mm nilikuwa natumia mastercard nikabadili kweny Paypal nikadilishiwa payment method na security department ya 1xbet Ila tatizo paypal nao walizingua, kwamba kwa tz ni kutuma tu nasiyo kupokea

Back
Top Bottom