Kila mara nachelewa kudesa! Duh!
Kila mara nachelewa kudesa! Duh!
2-5 daysmsaada mnaotumia skrill kuwithdraw je inachukua muda gani kutoka akaunti ya skrill kwenda bank?
Maana yake timu ifunge goli jingine timu yoyoteHii option ya "who wins the rest of the match" ina maana gani?View attachment 1002829
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii option ya "who wins the rest of the match" ina maana gani?View attachment 1002829
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa iyo inafanana na zero bet kwenye meridianKipindi unaplace bet una assume matokeo ni bila bila, then kwa huo muda uliobaki atakayepata idadi kubwa ya magoli ndo winner
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo kama mtu amekwama kuwthdraw/deposit tusimsaidie?Wadau humu ndani naona nyuzi za kupeana maelekezo sijui ya 1xBet namna ya kutumia zinakuwa nyingi kuliko lengo la huu uwanja! Nashauro tujaribu kujiongeza jamani! Humu ndani tupeane possible winnings hayo mengine ya sijui namna ya kuweka pesa kwenye account watu wajiongeze!
Yeye anafikili hii nchi hakuna wapagani wanaobeti!
wakizuia betting kwa kutumia mistari ya kwenye biblia na kurani, hawaoni kama hawatowatendea haki wasioamini vitabu hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app