Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu huko 1xBet mnafuata nini?mana complicate mambo tuu tumieni bet platforms zinazokupa urahisi wa kutoa mpunga wako, kwangu ni bora kutumia meridian, premierbet au betpawa mambo ya kutoa na kuweka kwa bitcoin au kadi za benki ni uduanzi
Tatizo options mkuu..Sio kila mtu anapendelea Magoli tu..wengine wanabet kwenye offside,substitute to score n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Booo.m[emoji295] [emoji295] [emoji295]
IMG_20190123_211922_146.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom