kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Kila mtu anauhuru wa kufanya anachojisikia kinachotakiwa asivunje sheria tu
21 kwa 23Root nisaidie matokeo ya Philippines Basketball Quarter 1. Game ya saa nane.
Hawezi sio rahisi na ndo maana Rais kaongelea matangazo tu
Fake Account
Sent from my iPhone using JamiiForums
acha porojo na wewe unatakiwa ujiongeze kidogo, twitter a/c ya JPM iko verified na inakitiki. Sio kila kitu unachokiona kwenye social network ukiamini
Nasikia kulikuwa kuna mvua mida ya mechiSiku ya Kupatwa kwa ligi ya Australia.. Mikeka yangu yoote imechanika.