kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Si wajibu wangu kukuonesha mikeka nilowahi kushare tafuta mwenyewe na mimi sio mbinafsi. Najaribu kuweka ukweli bayana, watu wanajaza uzi kwa mambo yasiyo lengo la hapa.kwa hiyo kama mtu amekwama kuwthdraw/deposit tusimsaidie?
Tuonyeshe kwanza mkeka wako ambao ulishawahi kushare humu. Acha ubinafsi
Sijasikia hii, lini??
lengo la hapa sio kushare mikeka tu, ni pamoja na kusaidiana pale mtu anapokwama kwenye mambo kama hayoSi wajibu wangu kukuonesha mikeka nilowahi kushare tafuta mwenyewe na mimi sio mbinafsi. Najaribu kuweka ukweli bayana, watu wanajaza uzi kwa mambo yasiyo lengo la hapa.
Hv mtu anapoulizia jinsi ya kuweka hela au kutoka hela inamaana hiyo kitu haihusiani na kubeti,utabet kama hula hela kwenye account au si unabet ili upate hela ili uweze kutoa..ebu achen mambo ya ajabu..hapa tunasaidiana ktk masuala yote ya kubet..kama vip anzisha uzi wako uweke hayo mashartSi wajibu wangu kukuonesha mikeka nilowahi kushare tafuta mwenyewe na mimi sio mbinafsi. Najaribu kuweka ukweli bayana, watu wanajaza uzi kwa mambo yasiyo lengo la hapa.
Kasema lini hii???
Jana baada ya kiongozi wa dini ya mabohora kulalamika muhindi anamchania sanaa mikeka hivyo akataka hii michezo ifutwe coz inaleta uvivuKasema lini hii???
Ft 0-0 bet lostToday
Single play
Time 22:30
Italy serie c
Potenza vs juve stabia
Total goal over 2.5 (3+) 0dd 2.25
Extra gg & 3+
Cs 1-2,1-3,2-2
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
unamanisha galsport au?Wadau mwenye Namba ya Kampuni ya Gal bet..... Please Nitumie wadau
Sent using Jamii Forums mobile app