Sina sababu ya kuchagua.....nalibeba kama lilivyo natia mzigo._GOD OVER EVERYTHING_[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
*EDIT, ADD, REMOVE TO YOUR OWN TASTE*
I can win 502K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Carl Zeiss Jena - Preussen Munster
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.23
Wolfsburg - Bayer Leverkusen
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.22
Borussia Monchengladbach - Augsburg
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.20
Burton Albion - Bradford City
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.20
Elgin City - Edinburgh City
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.17
Werder Bremen - Eintracht Frankfurt
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.16
Heracles Almelo - FC Zwolle
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.15
Genk - Mouscron Peruwelz
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.09
Stenhousemuir - Airdrieonians
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.18
Sassuolo - Cagliari
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.07
Borussia Dortmund - Hannover 96
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.08
Mainz 05 - Nurnberg
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.04
Manchester City - Burnley
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.04
PSV Eindhoven - Groningen
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.07
Cremonese - Palermo
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.08
Ascoli - Perugia
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.06
Brighton and Hove Albion - West Brom
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.04
Newcastle United - Watford
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.04
Celtic - Hamilton Academical
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.11
Barnsley - Rochdale
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.18
Accept any odds changes?Yes
26700
Odds: 9.41
Potential winnings: 251 216.50
100% win bonus: 251 216.50
Payout: *502 433.01*
[emoji91][emoji91][emoji1241] *IMMA FABO* [emoji767] [emoji1241][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu_GOD OVER EVERYTHING_[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]

Hapo nakuunga mkono mkuuKabisa mkuu jana nilijilipua na man u direct win plus goals 1&3+ odd 3+ na ikatiki ni mwendo wa odd kubwa tu leo namuwinda Napoli na atletico tu
Sent using Jamii Forums mobile app
dooh mzee baba kwema?Sampdoria win @ 1.80
Huracan win @2.30
odds 4.14
namtest hivi baada ya muda mrefu nimeamini jasiri haachi asili
Tuko pamoja hapa mzee baba nimukuta odds zimepungua kidogo.._GOD OVER EVERYTHING_[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
*EDIT, ADD, REMOVE TO YOUR OWN TASTE*
I can win 502K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz
Carl Zeiss Jena - Preussen Munster
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.23
Wolfsburg - Bayer Leverkusen
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.22
Borussia Monchengladbach - Augsburg
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.20
Burton Albion - Bradford City
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.20
Elgin City - Edinburgh City
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.17
Werder Bremen - Eintracht Frankfurt
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.16
Heracles Almelo - FC Zwolle
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.15
Genk - Mouscron Peruwelz
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.09
Stenhousemuir - Airdrieonians
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.18
Sassuolo - Cagliari
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.07
Borussia Dortmund - Hannover 96
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.08
Mainz 05 - Nurnberg
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.04
Manchester City - Burnley
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.04
PSV Eindhoven - Groningen
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.07
Cremonese - Palermo
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.08
Ascoli - Perugia
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.06
Brighton and Hove Albion - West Brom
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.04
Newcastle United - Watford
Total Score Over/Under - FT (0.5) (Over)1.04
Celtic - Hamilton Academical
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.11
Barnsley - Rochdale
Total Score Over/Under - FT (1.5) (Over)1.18
Accept any odds changes?Yes
26700
Odds: 9.41
Potential winnings: 251 216.50
100% win bonus: 251 216.50
Payout: *502 433.01*
[emoji91][emoji91][emoji1241] *IMMA FABO* [emoji767] [emoji1241][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiongeze Kila cku comment ni hzo hzo za anayejua cjui kujiunga Nini cjui Nini yaan new comer mna mawenge xana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona wenzako kila siki wanapost Aisee wewe hata odd 1.02 inachana mkeka acha kubet tuuu Magu alikuwa anawazungumzia watu kama nyie...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu
Hio pesa hata zikiungana kampuni zote za betting za wabongo hawawezi kukulipa. Mwenye mtaji mkubwa huenda ana B1 tu.kampuni unayobetia haina mtaji huo wa payout. kiufupi mkeka umeshashanika
Hongera kwa kuifanya betting kuendesha maisha ni aina ipi ya mchezo hupenda kutumia ,direct win,double chance au live betting ndio hukupa kipato zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
NBA ni over tu. Ukicheza under ukala ujue una mungu sana siku hio otherwise kichapo cha mbwa koko kitakuhusu!Basket ya marekani ilinishinda siku nyingi.....haiko predictable kabisa...nchi nyingine naweza predict na inakuja vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona simple tu kijana, hao viongozi wadini wanaosema betting zifutwe basi na misaada na sadaka zifutwe ili kila mtu apige kazi. Wala hamna kingine!Jamani wazee wenzangu wa kubet na ss tuombeeni mwaliko ikulu tusimame na mh. Rais naye akasikilize dukuduku letu, kwakuwa mh. Ameamua kukutana na makundi ya kijamii ikulu basi na sisi kama moja wapo ya makundi hayo tuombe mwaliko.
Kuna watu wanataka watuharibie,eti betting zifutwe kwakuwa hatufanyi kazi, huu ni upuuzi wa hali ya juu ambao unatolewa na watu waliovimbiwa na waliofikia kiwango cha mwisho cha kufikiri.
Hv ni sekta gani ya serikali au ya binafsi iliwahi kutangaza ajira watu wakaacha kwenda? mf.mzuri nyie ni mashahidi, TRA waliwahi kutoa nafasi watu wakatakiwa kwenda kufanya interview tuliona jinsi uwanja ulivyofurika, ulipita umati wa watu waliohudhuria kuaga mwili wa hayati baba wa Taifa mwl.jk nyerere.
Leo eti wanaojiita viongozi wa dini wanashauri betting zifutwe kwa hoja kwamba watu hawafanyi kazi, huu ni upuuzi na nakuomba Rais uwapuuze hao wanaajenda yao ya siri ya kisiasa, wanataka watu wageukie kwenye siasa, ndio kwakuwa hawana ajira hawabett mawazo yao yatageukia siasa na wataanza kukinukisha najua utasema uanajeshi lkn jeshi halijawahi kutosha kwa Raia ambao wamechoka na hawana cha kupoteza.
Leo kijana ameshaweka jamvi lake anasubiri muda ufike aanze kutiki, atakuwa na muda gani wa kumsikiliza lisu ameongea nn huko bbc hardtalk, cnn au aljazeera? au aanze kufuatilia harakati za kisiasa? muda huo anatoa wap?
Sasa hao viongozi wa dini ambao wengi wao wana taasisi mbalimbali kama mashule, mahospital, mabenki, wamesaidia nn Rais kutoa ajira kwenye taasisi zao? kwanza wamejaa ukabila, kujuana na uzandiki wa kila aina hupewi kazi mpaka uwe kabila fulani, dhehebu fulani mkoa au kijiji fulani, leo hii wanasema betting zifutwe kwa sababu vijana hawafanyi kazi, kazi ziko wapi!
Kuna wajinga watasema si ulimi tu, unalima nn? unaenda kuuza wa? wengi tunajua kilichotokea kwenye korosho, mahindi, mbaazi, nk,acheni ujinga,....... Yapo mengi ya kumueleza Rais lkn muda hautoshi tuombeni kukutana na mh. tukamueleze ya moyoni
Sent using Jamii Forums mobile app