Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Hii inaitwa betting for funMkuu hebu nieleweshe kidogo kuhusu maltple choice kwenye jackpot ya betpawa
Haswa upande wa stake
Je kila ukichangua zaidi ya 1x2 kwa game inaongezeka 100 au ni kama huo wako jumla inakua 200?
Naomba ufafanuzi tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Au unaweza ita beti kistaarabu
Wazungu wanasema stake only the money u can afford
Sent using Jamii Forums mobile app