Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jackport kubahatisha
Wolverhampton Wanderers - Leicester City 1 or 12

Crotone - Cittadella 2 or x2

Stuttgart - Mainz 05 1 or 12

Bournemouth - West Ham United 2 or 12

Newcastle United - Cardiff City 1 0r 1x

Nottingham Forest - Bristol City 2

Southampton - Everton 1 0r 1x

Perugia - Brescia x

Arsenal - Chelsea 1 or 12

RB Leipzig - Borussia Dortmund 2 or 12

Swansea City - Sheffield United 2

AS Monaco - Strasbourg x or x2

Angers SCO - Nantes x or 1x

Eupen - Lokeren 2 or 12

Nimes Olympique - Toulouse FC 1 or 12

Reims - Nice x or 1x

Celta Vigo - Valencia 2 or x2
 
ngoja tuone leo nn kitatokea.
 
Attachments

  • untitled.PNG
    untitled.PNG
    56.1 KB · Views: 36
Woooon! Wale wanaotaka wapewe tip kabla hatukjaleta 'green' muwe pia mnazifanyia kazi tip kama hizi zinazoletwa humu na wadau mbali mbali...watu wanaamua kuleta green kwakuwa hata ukileta tip hakuna anayefuata ila baada ya kuleta green malalamiko yanakuwa kama yoooote!...
Nimeamua kujikita kwenye basket zaidi kwakuwa naamini ni mchezo mwepesi kwangu kwani katika bets angalau 5 ninazocheza kwa siku siwezi kukosa 4 au 3, sio haba.
Lakini pia naona wadau wengi humu wamejikita kwenye football zaidi kwahiyo kwakuwa ni jukwaa huru la betting kwa mchezo wowote, sio mbaya kama na wale walio na interest na basket kama mimi wakaweza pia kunufaika.

Mapambano na yaendeleee...!
Screenshot_20190119-143348.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapambano na yaendeleee...!View attachment 998950

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mfuata tip Hapa Mkuu, wengi walalamikaji tu. Wanataka wakiingia humu wakutane na lost. Ili nao waone kumbe hawaliwi peke yao. Wakikutana na green wanapata kiwewe.
 
Hakuna mfuata tip Hapa Mkuu, wengi walalamikaji tu. Wanataka wakiingia humu wakutane na lost. Ili nao waone kumbe hawaliwi peke yao. Wakikutana na green wanapata kiwewe.
Niliwahi kusema hapa kwamba sio kweli watu hatupotezi kila tukibet,,ila tunajitahidi kuweka tulizoshinda ili kupeana nguvu na hamasa zaidi. Nisikufiche nilishawahi kuliwa 50k siku moja kwa mikeka tofauti tpfauti niliyoweka siku hiyo! Nilihisi kizungu zungu kwakuwa sikuwahi kupoteza kiasi kikubwa hivyo hapo kabla. Sikuwahi kuweka humu kwani najua haitasaidia zaidi ya kuwavunja moyo na wale wengine wanaopigwa hela ndefu ndefu...

Shida nyingine ukiweka tip na ikatokea ni lost bet, watu pia hawataacha kurusha povu...yaani kila upande ni shidaaaah, ukiweka ni tatizo usipoweka napo ni tatizo sijui nini kifanyike. Ila zaidi ya yote mtu asilaumu eti mbona zinawekwa green tu, kwanza tujue hata huyo anayejitahidi kuleta tip mapema anafanya hivyo kwa mapenzi yake hakuna chochote anachofaidika zaidi zaidi anawafaidisha wenzie.

Tubet kistaarab

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jackport kubahatisha
Wolverhampton Wanderers - Leicester City 1 or 12

Crotone - Cittadella 2 or x2

Stuttgart - Mainz 05 1 or 12

Bournemouth - West Ham United 2 or 12

Newcastle United - Cardiff City 1 0r 1x

Nottingham Forest - Bristol City 2

Southampton - Everton 1 0r 1x

Perugia - Brescia x

Arsenal - Chelsea 1 or 12

RB Leipzig - Borussia Dortmund 2 or 12

Swansea City - Sheffield United 2

AS Monaco - Strasbourg x or x2

Angers SCO - Nantes x or 1x

Eupen - Lokeren 2 or 12

Nimes Olympique - Toulouse FC 1 or 12

Reims - Nice x or 1x

Celta Vigo - Valencia 2 or x2
Mkuu hebu nieleweshe kidogo kuhusu maltple choice kwenye jackpot ya betpawa
Haswa upande wa stake
Je kila ukichangua zaidi ya 1x2 kwa game inaongezeka 100 au ni kama huo wako jumla inakua 200?
Naomba ufafanuzi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom