Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tip hiyoView attachment 999020


Ligi ya Russia hiyo
Kuna mtu alifuata hii tip?

Kitu WOOOOON!!
IMG_20190119_173416_984.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidi kudi pamoja mzee baba, mm napenda sana nibet basket sema mara nyingi nachezea za uso, sasa naomba uwe unanitag twende sawa mzee baba.
Woooon! Wale wanaotaka wapewe tip kabla hatukjaleta 'green' muwe pia mnazifanyia kazi tip kama hizi zinazoletwa humu na wadau mbali mbali...watu wanaamua kuleta green kwakuwa hata ukileta tip hakuna anayefuata ila baada ya kuleta green malalamiko yanakuwa kama yoooote!...
Nimeamua kujikita kwenye basket zaidi kwakuwa naamini ni mchezo mwepesi kwangu kwani katika bets angalau 5 ninazocheza kwa siku siwezi kukosa 4 au 3, sio haba.
Lakini pia naona wadau wengi humu wamejikita kwenye football zaidi kwahiyo kwakuwa ni jukwaa huru la betting kwa mchezo wowote, sio mbaya kama na wale walio na interest na basket kama mimi wakaweza pia kunufaika.

Mapambano na yaendeleee...!View attachment 998950

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom