Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Mmh.. Sina imani na hii game japo niliipa over 1.5
Mkuu ulirudi tena kwa australia mi niliwaacha tu baada ya mechi ile wanayumba sana hawa jamaa latelyMmh.. Sina imani na hii game japo niliipa over 1.5
hawa ndo wanatakiwa humu...sio kina ............ hatuwataki na hatutaki hizo..........zenuNgoja Tumtajirishee Mhindi, Sijui Nani Atachana hapa!!??View attachment 998851
Leo nimerudi kwao ila naona mambo sio mazuri.. Sydney kanifanya kitu mbaya, naona hata hii mechi inayoendelea yatakuwa yale yale tu.Mkuu ulirudi tena kwa australia mi niliwaacha tu baada ya mechi ile wanayumba sana hawa jamaa lately
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkongwe me nilijua umepumzika mpaka jamaa watakaporudi! Ila bongo watu wana fitna aisee! Hawa jamaa sidhani kama watarudiHizi kampuni zilivyo ovyo zinanifanya niwakumbuke sana 1Xbet
Jaribu meridian mkuu malipo ni fasta sana ila kuna makato kama tu sport pesa hawazingui kudiposit wala kutoaHizi kampuni zilivyo ovyo zinanifanya niwakumbuke sana 1Xbet
Hahahaaa ila Mkuu unateseka, Aiseee. Vipi kanjibhai kasepa na kodi nini?hawa ndo wanatakiwa humu...sio kina ............ hatuwataki na hatutaki hizo..........zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
utani mkuu...haijawahi kuwa serious kabisa...ila jamaa anakela kiukweliHIVI NI UTANI AU UKO SERIOUS
daa option zao sio rafiki sana. Najipanga kurudi 1xbet kwa njia yoyote ileHizi kampuni zilivyo ovyo zinanifanya niwakumbuke sana 1Xbet
ndani ya week.....nimetengeneza hiyo..sio vi aisee vya vya hela ya nyanya ila nakuchana live mkuuHahahaaa ila Mkuu unateseka, Aiseee. Vipi kanjibhai kasepa na kodi nini?
Hahaaa vingekuwa vya nyanya visingekukera hivyo inaonekana kanjibhai kakugeuza punda. Hahaaa. Aiseee.ndani ya week.....nimetengeneza hiyo..sio vi aisee vya vya hela ya nyanya ila nakuchana live mkuuView attachment 998876
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa vingekuwa vya nyanya visingekukera hivyo inaonekana kanjibhai kakugeuza punda. Hahaaa. Aiseee.
Mpuuzi huyuMamaeee... Sydney kaondoka na hamsini yangu!
Kashindwa kupata goli mbili.
Hahahaaa Mkuu mchana umekula lakini au kanjibhai kapita na hela ya kula. Relax Mkuu kubet sio sawa na kuuza njegere.fala wewe na kwani aliyekuchana Leo asbh nae unamkela au anakwambia uache ushamba wako
Sent using Jamii Forums mobile app