Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1547888115554.png

Hizi kampuni za bongo kimeo sana, Sasa iyo game ya Ismaily imeisha tokea jana hajabu hawajalipa pesa till now
 
wakuu msio weka mikeka yenu kabla tunaomba baada pia msiweke, sio mnakuja humu aiseeee mkiliwa hamuweki weka before sio after alafu mnakuja na aiseee ili iweje? kuwalingishia walio loose au? atutaki ungese.
Aiseee Mkuu tuletee mikeka basi mbona na wewe unakuja na maneno matupu???
 
Back
Top Bottom