Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu mmelisoma hilo tangazo la bodi ya michezo ya kubashiri??View attachment 1005942

.
Hii inawahusu sanasana wahuni biko,tatu mzuka,daka pesa nk .
Hao ndio wanategemea sana matangazo ya redioni na TV.
Sisi wakubet wala hatuna shida coz sijawahi ona/sikia bet pawa ikitangazwa popote but watu tumeijua .

Kufungia betting kwa bongo mojakwamoja bado sana ila hii ni alert kwetu kwamba mda si mrefu mambo yatakuwa si mambo.
Ushauri:Tuwekeze kwa kiasi siku ya siku hela zetu zitaenda,imagine hizi companies zilishasaini mikataba ya matangazo maredioni na TV hili tangazo la ghafla wanafanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…