Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

40e4155311a0b4680d2c03e4035af5dd.jpg

Nakufa kiume

Chichimizi
 
Makamanda naombeni msaada wa kuwafikia hawa parimatch, jana nime withdraw elf 25 ila cha ajabu mpaka saa hv sijaipata pesa angu.. pameandika pending tu kama panavoonesha, nikasema labda tatizo la mtandao, nikajaribu ku withdraw elf 2 yenyewe ikatoka ila elf 25 haifik mpesa. aliye na namba yao anisaidie maana mm siwapati

IMG_7094.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Attachments

  • IMG_7094.JPG
    IMG_7094.JPG
    62.2 KB · Views: 38
Makamanda naombeni msaada wa kuwafikia hawa parimatch, jana nime withdraw elf 25 ila cha ajabu mpaka saa hv sijaipata pesa angu.. pameandika pending tu kama panavoonesha, nikasema labda tatizo la mtandao, nikajaribu ku withdraw elf 2 yenyewe ikatoka ila elf 25 haifik mpesa. aliye na namba yao anisaidie maana mm siwapati

View attachment 1005819

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona ukiwapigia chap tu wanakurekebishia tatizo lako customer care yao iko poa sana ngja nikuchekia no yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makamanda naombeni msaada wa kuwafikia hawa parimatch, jana nime withdraw elf 25 ila cha ajabu mpaka saa hv sijaipata pesa angu.. pameandika pending tu kama panavoonesha, nikasema labda tatizo la mtandao, nikajaribu ku withdraw elf 2 yenyewe ikatoka ila elf 25 haifik mpesa. aliye na namba yao anisaidie maana mm siwapati

View attachment 1005819

Sent from my iPhone using JamiiForums
0800787878 namb ya parimatch hyo watwangie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana sijui nimejichanganya vipi mana mikeka miwili yote imeungua kiaina na c kawaida yote iungue....under na over zikigoma zinagoma vibaya...leo hela ipo
 
Back
Top Bottom