Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Umeambiwa weka huo mkeka uliokosa mil3 sababu ya team moja kukosa...we umeweka cjui mavitu gani
Umeambiwa weka huo mkeka uliokosa mil3 sababu ya team moja kukosa...we umeweka cjui mavitu gani
WONAtletico Madrid - Getafe CF
Atletico Madrid
1.75
WONPartick Thistle - Queen of The South FC
Over 1.5 goals
1.30
Ross County FC - Alloa Athletic FC
Over 1.5 goals
1.25
Odds 1.63
Mkuu nipe darasa kidogo izo over under zinakuaje na kampuni gn inafaa zaid na wako smart bila longo longo maana ku bet win/draw/loose ni kipaji
![]()
Msije mkasema sijawaambia 🤛🏽
Mkuu tupe darasa basi kupitia mkeka wako kuhusu option ulizochagua had ukakosa hiyo milion 3...mkeka hutufunza meng tukionaMkuu nipe darasa kidogo izo over under zinakuaje na kampuni gn inafaa zaid na wako smart bila longo longo maana ku bet win/draw/loose ni kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu hapo....alikua anachangamsha genge tuMkuu tupe darasa basi kupitia mkeka wako kuhusu option ulizochagua had ukakosa hiyo milion 3...mkeka hutufunza meng tukiona
hii ni 1xbet?![]()
Wayaaaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Chichimizi
watu waongo tuUmeambiwa weka huo mkeka uliokosa mil3 sababu ya team moja kukosa...we umeweka cjui mavitu gani
Sasa mkuu unampaje Everton direct win na yupo ugenini mbaya zaidi ni FA? Hili kombe usiwe unabeti maana huwa halieleweki