Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari

Jamani wale wazee mnaotumia 1xbet naombeni mnitoe wasiwasi hivi ukidraw pesa kupeleka NMB inatumia muda gani maana toka saa saa tatu asubuhi na imeprove lkn mpaka sasa bengi hakuna kitu

Sasa ninawasi wasi wa kuibiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meridian, betpawa inaonekana mambo yao yanaenda mrama, kwenye kutoa pesa longo longo kama zote, ila kuweka daah wapo fasta balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba kujua unadeposit vipi kwa tigo pesa?
Maana Nina akaunti ya Gaalsbert

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaingia menu ya tigo, unaingia no 4(lipia bili) namba ya kampuni ni 277766, then unaingiza ID namba yako, hakikisha unahakikisha ni yako coz unaweza muwekea mwingine,then kiasi kisha namba ya siri, tigo wakishawalipa Gal sport watakutumia code namba, ambayo utaingia kwenye wepo ya Gal sb kuna sebem ya diposit via USSD then utaweka zile code
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…