Kikinga
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,098
- 2,002
Mkuu usingemuamini spurs kumbuka Crystal palace walivyokimbizana na Liverpool hapo juzi tu ila ndo betting inakera sana kuchaniwa na tim moja kama alichonifanyia real sociedad jana sijui hata nilitokana nae wapi na simuwekagiTottenham Mungu anawaona mnachofanya [emoji29][emoji29]View attachment 1006601View attachment 1006602
Sent using Jamii Forums mobile app
Vzr kula na wenzio mkuuJana kanji nimempa vipigo vitakatifu
Mikeka 5 umechanika m1
Karudisha hela zangu zote alizonila tangu nmeanza betting...
Sisem nmepata faida na kuchekelea sabab najua hiz ni hela zangu zile zile alizonila..
Naanza upya na utaratib wangu ni odd 1.2 or 1.4 ,match mbili tuu za uhakika,stake ya elf50,.lengo ni kila segment ya betting nayofanya,nile elf10...basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah bora hata ww Real Sociedad alikua na odd kubwa...mi nilifata timu ya S.Africa ile Kaizer Chiefs na over 2.5 ilikua na 1.18 odds nikafata..sijui nilijisahau vp mana za africa sifatag kabsa na wakatoka 0-0Mkuu usingemuamini spurs kumbuka Crystal palace walivyokimbizana na Liverpool hapo juzi tu ila ndo betting inakera sana kuchaniwa na tim moja kama alichonifanyia real sociedad jana sijui hata nilitokana nae wapi na simuwekagi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wapenda michezo wote mnakaribishwa kwenye app hii inayoonesha mechi zote hasa za ulaya live>> http://bit.do/man24
Sent using Jamii Forums mobile app
Uki ingia kwwnye website yao juu pale si walisema wana matatzo kwenye withdraw kwamba zina chelewa ama hukuona iyo notification?Betpawa wanazingua nimedraw toka jana saa 4 usiku hadi saa hii hawajaniwekea mzigo wangu
Nimewa whatsap naona wanasoma tu hawajibu
Kuna namna mweye uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uki ingia kwwnye website yao juu pale si walisema wana matatzo kwenye withdraw kwamba zina chelewa ama hukuona iyo notification?
Sent using Jamii Forums mobile app
.Betpawa wanazingua nimedraw toka jana saa 4 usiku hadi saa hii hawajaniwekea mzigo wangu
Nimewa whatsap naona wanasoma tu hawajibu
Kuna namna mweye uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu betpawa hawana ile odds bust utakuta mechi 20 ods 30 wakati makampuni mengne odds zinafikia hadi 50 ndo maana unaona wanaweka na bonus na kodi hawakati kwa sababu wanajua washakuminyaIsije kuwa wanakiuka masharti maana anaekula pesa awe mtu binafsi kashinda au kampuni wote wanatakiwa kulipa kodi ila betpawa hawafanyi ivyo ndio kwanza pesa yako yote unapewa na bonansi juu
Sent using i Phone x
Mwenye uzoefu na Parimatch msaada....
Nimewithdraw toka saa saba usiku lakin hadi sasa status inasoma 'pending'
Sent using Jamii Forums mobile app
wacheck 0800787878Mwenye uzoefu na Parimatch msaada....
Nimewithdraw toka saa saba usiku lakin hadi sasa status inasoma 'pending'
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1006795[emoji123][emoji123][emoji459][emoji459][emoji459]