DOTTOJAY
JF-Expert Member
- Sep 12, 2010
- 207
- 124
Ha ha ha mi ua naangalia uwezakono wa matokeo nikiona sina uhakika na direct win nahamia kwenye option zingine,nikaamua kumpa inter apate goli moja imeshindikana piaTupo tofauti sana mi naamini sana katika direct
Haya mambo ya gg mara over na under yananipaga pressure sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bet hiyo kauli yake ili ikitokea upige pesa.
Isije kuwa wanakiuka masharti maana anaekula pesa awe mtu binafsi kashinda au kampuni wote wanatakiwa kulipa kodi ila betpawa hawafanyi ivyo ndio kwanza pesa yako yote unapewa na bonansi juuIvi mbna betpawa pesa anayokula mtu haikatwi kodi wakati makampuni mengine ukila hela unakatwa kodi
Sent using i Phone x
Mimi nimemalizia kibubu kama ifuatavyo ...Bad day mikeka yote imechanika sijui nimalizie hasira kwa Juventus
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cyo ww tu...leo nimecheza vibaya sana hata mm..naangalia tu saiv mienendo ya timuBad day mikeka yote imechanika sijui nimalizie hasira kwa Juventus
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupiamo na psg mkuuMimi nimemalizia kibubu kama ifuatavyo ...
- Madrid win
-Juventus DNB
=====
Odds: 2.27
Hawa nao wakininyima, basi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niruke na juve akichana basi nishazoeaMimi nimemalizia kibubu kama ifuatavyo ...
- Madrid win
-Juventus DNB
=====
Odds: 2.27
Hawa nao wakininyima, basi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Betting ngumu sana hii, kumbuka hizo zote ni Derby.Mimi nimemalizia kibubu kama ifuatavyo ...
- Madrid win
-Juventus DNB
=====
Odds: 2.27
Hawa nao wakininyima, basi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepaki basi ukiangalia possession 79% kwa 21%Chelsea dakika zinayoyoma , over 2.5 hakuna na sion umaana wa higuain
Chelsea kwenye magoli huwa simuamini kabisa bora nimpe direct win atafunga hata mojaChelsea dakika zinayoyoma , over 2.5 hakuna na sion umaana wa higuain
Unaijua Premier bet? Unaijua Princess bet?Isije kuwa wanakiuka masharti maana anaekula pesa awe mtu binafsi kashinda au kampuni wote wanatakiwa kulipa kodi ila betpawa hawafanyi ivyo ndio kwanza pesa yako yote unapewa na bonansi juu
Sent using i Phone x