Mkuu nikitaka kuweka hii code 5973 kule meridian nawekaje msaada tutani mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikitaka kuweka hii code 5973 kule meridian nawekaje msaada tutani mkuu
Mkuu iyo code inatumika kwenye betting shop,ukifika unawaambia fast bet unawatajia...kwenye app yao bado hawajaweka iyo option km ilivyo 1XbetMkuu nikitaka kuweka hii code 5973 kule meridian nawekaje msaada tutani mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu thanks natembea nao huuMkuu iyo code inatumika kwenye betting shop,ukifika unawaambia fast bet unawatajia...kwenye app yao bado hawajaweka iyo option km ilivyo 1Xbet
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio km inavyojieleza mkuuKuna mtu ameshawahi kukutana na hii message ? Nikitaka kilipia betslip inasema "you have already placed bet on ..."
View attachment 1007518
Sent using Jamii Forums mobile app
Itoe hiyo mechi badili nyingineSijaelewa mkuu ... yani nataka kulipia betslip ambayo ndio nimeiweka saiv (baada ya kuchagua games). Sasa inaniambia "you have placed bet on ..."
Nafanyaje ili nilipie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itoe tu iyo game kupunguza complicationSijaelewa mkuu ... yani nataka kulipia betslip ambayo ndio nimeiweka saiv (baada ya kuchagua games). Sasa inaniambia "you have placed bet on ..."
Nafanyaje ili nilipie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Wa Mexico huwa wanapenda kupata magoli kipindi cha kwanza dakika zikiwa mwishoni.Hii game niliiona nkataka nijilipue ov 1H nkaogopa,, kumbe uoga wangu umenyima mbesaaa aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Wa Mexico huwa wanapenda kupata magoli kipindi cha kwanza dakika zikiwa mwishoni.
Nambie Mkuu Kandu88
Nambie Mkuu Kandu88