Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Kidi kudi unaninyima pesa makusudi.. acha hizo bhana
Nilikua natest mitambo mkuuKidi kudi unaninyima pesa makusudi.. acha hizo bhana
Ok.. Ukifanya kweli tukumbukane hali tete huku!
Chukua Wolves na Brighton odds 6+Nina laki hapa nataka odds 2 tu nipate laki tena. Sijui nimchukue nani na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina laki hapa nataka odds 2 tu nipate laki tena. Sijui nimchukue nani na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hunipendi na hunitakii mema, nahisi kama hawa bado hawajakomaa kuaminiwa na kuwekewa 100k?Chukua Wolves na Brighton odds 6+
[emoji144][emoji144][emoji144]
Everton alieko ugenini sio wa kuaminika zaidi mkuu. Nahisi kama nimchukue Man city, na Chelsea anaecheza kesho! I'm in dillema?Everton na Man U
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu wanatuharibia jukwaa kwa kutujazia vitu ambavyo .........
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu msimu wa kutuma tips matakataka au makatakata mtu anatuma tips unafurahi hadi unakereka tena.Kuna watu wanatuharibia jukwaa kwa kutujazia vitu ambavyo .........
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu msimu wa kutuma tips matakataka au makatakata mtu anatuma tips unafurahi hadi unakereka tena.
Wamekuja kuwakera!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja ya ndugu mjumbe UndetectableJapo mimi sio mtuma mikeka humu ila ikiwa mingi inapoteza kabisa.
Tungejikita kwenye kuleta mikeka ya kimkakati ili tupate pesa
Wakati mwingine tuwe makini.. naanza kuhisi kuwepo kwa mawakala wa Kanji humu ndani.