Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee risechi yangu inaweza kuwa kweli,,,,nimetest kuweka ndoano humu ila naona kila ninachotest kushea hapa kinasoma LOSS...nikijilipua bila kushea ni mwendo wa green, bila shaka nakaribia kupata conclusion ya risechi yangu[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mm nikikwambia leo man u anadroo, man cty anadroo na arsenal anapigwa alafu nikacheza tunaliwa ila nikikwambia alafu nisicheze umekula mzee n chache Sana nikishea alafu nikala
 
1548781071204.png
 
Aisee risechi yangu inaweza kuwa kweli,,,,nimetest kuweka ndoano humu ila naona kila ninachotest kushea hapa kinasoma LOSS...nikijilipua bila kushea ni mwendo wa green, bila shaka nakaribia kupata conclusion ya risechi yangu[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida hiyo mkuu.. Ni moja kati ya matukio katika kazi. Usife moyo mkuu.
 
Wakuu,
Kuna wakati jukwaa lilinoga mno, mikeka michache na yenye tija ilitumwa hapa.
Siku hizi mmmh!
Miaka ya 2015 kurudi nyuma.
Sasa unavurugwa kichwa balaa
 
Back
Top Bottom