Chova
JF-Expert Member
- Oct 21, 2018
- 276
- 378
Kuna kitu nmejifunza hapaAisee ....Zamaleck hamjawahi kuniangushaView attachment 1008179
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu nmejifunza hapaAisee ....Zamaleck hamjawahi kuniangushaView attachment 1008179
Washenzi wameenda na 20K yangu hao, team za Afrika ni kichefu chefu.....ajabu nilisita sana nakutamani kucheza OVER 1.5 at the end nikawaamini Direct WIN sabab ya rekodi yao
Umejifunza nn Mkuu?
Vp everton anaongoza 1
Safi sana mkuu, kila mechi ina option yake ila sasa inatakiwa kila mechi ziwe zinatoka nchi tofauti na Sio mechi Nne zinatoka Nchi moja...
Mi nilisita kuweka under apo maana sku hazifananHuyu Milan huyu magoli yanatosha haya bhana
Safi Mkuu, tuendelee kujifunza.
Poa mkuuNenda Kwa Arsenal na Kwa Man u jilipue na over 0.5 HT play single.
Hichi kikombe Napoli atapigwa mengi tu ila Atatafuta goli moja la ugenini au zaidi Kama akirudi vizuri,Huyu Milan huyu magoli yanatosha haya bhana
Monaco wanashuk daraja hao waliuz sn wachezajNenda Kwa Arsenal na Kwa Man u jilipue na over 0.5 HT play single.
Pamoja mkuu nipo makin sana sas hv naendelea kujifunza ile ya zamalek mm niliweka over 0.5 zilipofika odds 2.25 hvSafi Mkuu, tuendelee kujifunza.