Duuh, leo nimepishana na hela inaniuma kinoma. Hii game toka ikiwa kipindi cha kwanza dk ya 28 nilitaka nijilipue ushindi kwa Strasbourg ... alikuwa na odds 3 hivi. Nikasema niipe muda mpk walu dk ya 40 akaongezewa odds mpk 5.4 ila nikasita maana hakuwa na shot on target hata moja. Kimeanza kipindi cha pili, dk ya 47 odds zikapanda mpk 7.
saiv ningekuwa na 140K mfukoni ... nimeiweka hela kwny mkeka wa odds 3 ...doooh!!! kweli muda mwingine tuheshimu instincts.
View attachment 1008986
Sent using
Jamii Forums mobile app