wajinga sana wanakera wanaweza wakaweka wachezaj ambao sio muhimu UEFA inakaribia unaona leo roma timu imefungwa ndo edin dzeko anaingiaAtalanta juzi aliniharibia sana vipi leo wakuu nataka niweke single bet direct win juventus maoni yenu please
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ni LOSS,,,
Leo hakuna ya janaOdd 3...Au yatatokea yale ya jana wakuuView attachment 1008954
Udhalilishaji wa kingono huu. 6????[emoji15]Anachofanyiwa Roma Leo hatosahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bora niweke Over nikose kuliko kuweka Under 3.5 Dk ya 18 tayari mabao 3.Hawa nao sijui waliota mana Florentina wamemfumua Roma 7View attachment 1008981
Odd 3...Au yatatokea yale ya jana wakuuView attachment 1008954
Odds 190
Man u na City
Fixing in football
Hasa EPL imeingia.
Hii ni Mara ya 2
JamiiForums mobile app
Duuh, leo nimepishana na hela inaniuma kinoma. Hii game toka ikiwa kipindi cha kwanza dk ya 28 nilitaka nijilipue ushindi kwa Strasbourg ... alikuwa na odds 3 hivi. Nikasema niipe muda mpk walu dk ya 40 akaongezewa odds mpk 5.4 ila nikasita maana hakuwa na shot on target hata moja. Kimeanza kipindi cha pili, dk ya 47 odds zikapanda mpk 7.
saiv ningekuwa na 140K mfukoni ... nimeiweka hela kwny mkeka wa odds 3 ...doooh!!! kweli muda mwingine tuheshimu instincts.
View attachment 1008986
Sent using Jamii Forums mobile app