Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Ukiweka tu MK14 anasepa na kijiji [emoji23]Hivi simba vs Al ahly wana odds kiasi gani? Nataka niwaue simba kwa pesa kubwa sana Incase wakitoa droo nijinyonge kabisa, wakipigwa naingiza hela ambayo ingenighalimu mwaka kuingiza but nataka niingize kesho kwa simba. Simba lazma wateme hela zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaaa aisee una mawazo kama yangu, mechi iliyopita niliwaua kwa 100k dhidi ya vita clubHivi simba vs Al ahly wana odds kiasi gani? Nataka niwaue simba kwa pesa kubwa sana Incase wakitoa droo nijinyonge kabisa, wakipigwa naingiza hela ambayo ingenighalimu mwaka kuingiza but nataka niingize kesho kwa simba. Simba lazma wateme hela zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngojawawasikiehahaaaaa aisee una mawazo kama yangu, mechi iliyopita niliwaua kwa 100k dhidi ya vita club
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja. Over 2.5 ipo.Hivi simba vs Al ahly wana odds kiasi gani? Nataka niwaue simba kwa pesa kubwa sana Incase wakitoa droo nijinyonge kabisa, wakipigwa naingiza hela ambayo ingenighalimu mwaka kuingiza but nataka niingize kesho kwa simba. Simba lazma wateme hela zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni timu yangu ila haiwezi kurudi na matokeo.Ukiweka tu MK14 anasepa na kijiji [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Naishabikia ila hapo itanisaheme tu. Lazima apigwe.
[emoji23][emoji23][emoji23] jana ulijua kuwa Chelsea atapigwa 4-0 na Bournemouth?Ni timu yangu ila haiwezi kurudi na matokeo.
Hooooo! Kwa vile unakuja humu kwa kuvizia ila soma hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23] jana ulijua kuwa Chelsea atapigwa 4-0 na Bournemouth?
Teh teh teh! Akifunga moja atakuwa amechochea hasira maradufu kwa yale marabuku, watapigwa maradufu, bora kagere akaushe tu arudi nyuma akakabe magoli yapungue.Ukiweka tu MK14 anasepa na kijiji [emoji23]
Simba atafungwa kwa tathmini ya harakaharaka..Hooooo! Kwa vile unakuja humu kwa kuvizia ila soma hiyo.
Mkuu hii mechi sijaona ikiwekwa. Yaani nitaweka Over 2.5.Teh teh teh! Akifunga moja atakuwa amechochea hasira maradufu kwa yale marabuku, watapigwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata tathmini ya polepole bado tunafungwa tena nyinyi sanaa mkuu.Simba atafungwa kwa tathmini ya harakaharaka..
DB kwa Ahly 1&3+ inatoaTeh teh teh! Akifunga moja atakuwa amechochea hasira maradufu kwa yale marabuku, watapigwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa hapo nakubali.DB kwa Ahly 1&3+ inatoa
Naitafuta kwenye kampuni zote za kubet siioni? Sijui haichezwi kesho? Maana za kesho zote zimewekwa kama latest.Mkuu hii mechi sijaona ikiwekwa. Yaani nitaweka Over 2.5.
DB tena? Hapo ni direct win simba anakufa kuanzia 4 kuendelea. Hii game naitamani sana nistake mapesw what I can't afford to lose.DB kwa Ahly 1&3+ inatoa