Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tena inaonekana haina refa Wala kocha na magoli wameng'oa kabisa
Screenshot_20190131-143958.png
 
Naam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.

Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.

Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!
 
Congratulations
WALIOCHEZA

*GRACEFULLY WOOOOOOOOON*💃


*ABLE GOD, WE NEED THIS BLESSINGS*


*BREAKFAST TIP*


*10:30AM*🌚


*RATE 👉 80% SAFE*


Booking number *Z68XZPBN* found.

Selections added to the betslip
2974 Hua Hin, Thailand
Wang, Yafan - Zhang, Shuai
*2HH 1.40*🍏🍏🍏🍏

1880 Monastir, Singles M-ITF-TUN-04A
Berrettini, Jacopo - Hidalgo, Diego
*1HH 1.70*🍏🍏🍏🍏

2109 Monastir, Singles M-ITF-TUN-04A
Mansouri, Skander - Artunedo Martinavarr, Andres
*1HH 1.70*🍏🍏🍏🍏

💃💃💃🤤🤤🤤💃💃💃🤤🤤🤤💃💃💃🤤🤤🤤💃💃💃🤤🤤🤤💃💃💃🤤🤤🤤💃💃💃

*CONGRATULATIONS TO THOSE WHO PLAYED*

*FOR DAILY TIPS AND ROLLOVER*

👉 *07064662966*

*MY OBLIGATION NA TO MAKE SURE SAY MONEY DE FOR THE OCCASION*

*ODD 4.05*


*Amount 10000*


*WINNING 👉 40,460*


🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀

*GREENLAND CARES*®
 
Kwa wale wote ambao wana muda hawajamtandika Mhindi kesho ndio siku ya kumuadabisha mhindi kwa hisani ya simba Tanzania. Tusibeti mechi yeyote ile tubet mechi moja tu.
Tumuumize Mhindi tukimla buku buku watu million moja kuanzia Bongo hadi Misri na dunia nzima atakuwa kapata hasara ya 1000,000 ×1000= 1,000,000,000 tutarara mbele na billion moja ya Mhindi. Kwa makadirio madogo madogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.

Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.

Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!
Huu ndio mkeka wenyewe.
Screenshot_20190131-143209.jpeg
 
Back
Top Bottom