Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

I must change the plan, the best way to win the Battle is to attacks but laxima nibadili Gia kwastaili nitakuwa mchangiaji wa muhindi nimekoma 200k imeenda bila return hiki nikipigo kikubwa Sana kwangu.

Hapa mnasemaje tuanze nahyo au?
IMG_20190131_151037_019.jpg
 
Naam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.

Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.

Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!
mkuu hizi hela fuga hata kuku ule mayai kuliko kufanya hivi
 
Back
Top Bottom