Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
I must change the plan, the best way to win the Battle is to attacks but laxima nibadili Gia kwastaili nitakuwa mchangiaji wa muhindi nimekoma 200k imeenda bila return hiki nikipigo kikubwa Sana kwangu.
Hapa mnasemaje tuanze nahyo au?View attachment 1009504
Achana Na Direct win Mkuu Utakufa Masikini Cheza over 0.5 mwisho over 1.5 tena kwa Mechi kubwa tu mfano Liver vs kilaza, man u vs Kilaza, Barca vs kilaza hapo ndo unaweza kuweka over 1.5 hata odd tu zitakwambia zenyewe weka 1.5 Pia kuna Ligi kana Scotland, German Bundesliga 1,2,3 wote over 0.5 zinatoa saana ukichaniwa ni bahati mbaya huwezi chana siku zote! Option ni hizo mbili over 0.5 na Over 1.5 Zingine zote Chenga mzee
Sent from my iPhone using JamiiForums