Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kopi huo wa premierbet utapata hela
 

Attachments

  • IMG_20190131_145545.jpg
    IMG_20190131_145545.jpg
    165.4 KB · Views: 40
Naam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.

Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.

Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!
Eka dau kubwa, pita na timu tatu hadi nne tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime-google terminology mbalimbali za betting.Kidogo nimeanza kuelewa maana ya Odds,Stake na probability zinavyotolewa,nauchukua ushauri wenu,huu mkeka siulipii.Ngoja niendelee kupata Elimu ya hii industry.
 
Back
Top Bottom