Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,056
- 4,608
Ningeomba siku kuamua kuutoa uhai wsko kachimbe mwenyewe kaburi nunua sanda yako lwa pesa za huo mkeka ili usiwaumize watuNaam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.
Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.
Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!
Tupatie mrejeshoHuu ndio mkeka wenyewe.View attachment 1009445
Hakunaaaahii match sio ya kwenda kichwa kichwa! inaweza pia kuwa na suprise coz Al ahly wana 9 key players nje kwa injury halafu uwanja watakaocheza wamepewa ticket Elfu10 tu kwa ajili ya usalama! Isije kutokea yale ya El Ismaily
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes ujasiri unaleta faida, imagine ungeweka fifity!
Yani mkuu hakuna draw kati ya Bournemouth na CardiffHahHa tusubiri dakika 90...utakuja kunipa shukrani hapa
Ungekuwa una withdraw nwSometimes ujasiri unaleta faida, imagine ungeweka fifity!
Sometimes ujasiri unaleta faida, imagine ungeweka fifity!
[emoji3][emoji3][emoji3]Ukivaa bomu anazichukua, ukisita inatick ... yani jamaa utafkiri huwa anaoteshwa.
Place bet mkuu unaanalyse unaacha hewani [emoji1][emoji1]Central Coast Mariners hajawahi kumfunga Melbourne Victory tangu 2013
View attachment 1011234
hatuwezi kujilipua hapa kweli???
View attachment 1011235