Wamepata penalty ...
Bora AS Vita nlimpa ushindi kipindi cha kwanza. FT: 2-2
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo niliweka tu 3+Wamepata penalty ...
Bora AS Vita nlimpa ushindi kipindi cha kwanza. FT: 2-2
Sent using Jamii Forums mobile app
Glad your back sir. karibu sana.Hapana mkuu,
Bado Niko vizur,
Tatzo kuna mambo flan yalniweka bize
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu mm 1xbet bado inabaki kuwa ya number one. Tumejishikiza BetPawa kwa muda.Nipeni updates wakuu,
Ni kampuni gan nzur kwa sasa TUENDELEZE MAPAMBANO
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada angu Nipe Muongozo,
Kweli mkuu,Kwangu mm 1xbet bado inabaki kuwa ya number one. Tumejishikiza BetPawa kwa muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli una muda mrefu hujapitia hili jukwaa, mkuu nimebadili jinsia sio dada tena kwa sasa nimehamia kwa manjemba. How do you like that?Dada angu Nipe Muongozo,
Kampuni gan kwa sasa ni mbadala wa 1xbet,
Hasa upande wa Option
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu,
Bila Mrusi morali ya Kutafuta pesa inakua chini sana.
Ukzingatia mfumo wa sasa wa MasterCard una masharti mengi na malipo yanatumia Mda mrefu sana.
Tofaut na ile mobile payment ya zaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cheki Pm yako.Nipeni updates wakuu,
Ni kampuni gan nzur kwa sasa TUENDELEZE MAPAMBANO
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaachaga tu masihara yako?Kweli una muda mrefu hujapitia hili jukwaa, mkuu nimebadili jinsia sio dada tena kwa sasa nimehamia kwa manjemba. How do you like that?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi currently upo Dar? Nina mchongo mmoja wa betting nataka tukae kama kamati tuienginie mchongo wa kama million 50 hivi wa betting business.
AiseeWeekend hii nilikuwa najua ntamnyoosha Kanji,,,dah nachoona hapa hata siamini
Bundasliga nayo imekuwa kama Ligue 1 tu..Bayern na Herltha Berlin hata siamin