Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mapemaaaaaaa kabisa nishaweka jiwe la msingi.

Uzinduzi umefanyika muda huu.
19437f54c057651375c172574349b45a.jpg
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Simbaaaaaaa.
 
Yan wamisri wanarukaruka tuu uwanjan ila wakifika kwenye goli la Simba n waya Yan Kama n mgalagazwa wa Simba unaeza just n utan lakin ndo ukwel huo
 
Hiki n kiburi chasimba tuu kule CAF Kuna fomu huwazipo ukiona game huiwezi au wachezaji wako Jana yake walishinda club unaenda kwenye website ya CAF unalogin unaijaza alafu unasubmit Basi unakuwa umepewa point 0 jamaa wanachukua point 3 na goli 3 sa sijui Simba kwann walishindwa kufanya hvyo
 
Hapo ndo unaambiwa Yan timu unaipenda kinomanoma Yan ikuumize moyo wakati unajua kabisa na hela ikunyime mzee Kama bado weka over 12.5 Kama huna hela weka Figo aisee
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom