officialfaheeed
JF-Expert Member
- Jan 31, 2019
- 389
- 233
Msaada Jamani ninashida na odds 3 za uhakika nataka kuweka mzigo mkubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mzigo mkubwa kwako stake sh?Msaada Jamani ninashida na odds 3 za uhakika nataka kuweka mzigo mkubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga odd za uhakika, hapa tuna bahatisha so huwezi kubahatisha kitu cha uhakika[emoji87] [emoji87] [emoji87]Msaada Jamani ninashida na odds 3 za uhakika nataka kuweka mzigo mkubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga odd za uhakika, hapa tuna bahatisha so huwezi kubahatisha kitu cha uhakika[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
hii kampuni gani mkuuMapemaaaaaaa kabisa nishaweka jiwe la msingi.
Uzinduzi umefanyika muda huu.![]()
Mkuu, Ungeweka hata 3+ tu. Au 2+.Mapemaaaaaaa kabisa nishaweka jiwe la msingi.
Uzinduzi umefanyika muda huu.![]()
Mbona jamaa huwa anaweka ila kwa laivu muda mwingine ni ngumu kutupia maana dakika inaweza isifike mbili toka uweke goli likaingiaVoid ab initio we jamaa nimeangalia bet slip zako nyingi unajitahidi sana kwenda na upepo lakini labda mimi simo sana humu ama ni kweli kuwa huweki kabla hizo bet slip ili wadau wafaidike pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingereza kimehusika hapa kwenye huu uzinduzi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapemaaaaaaa kabisa nishaweka jiwe la msingi.
Uzinduzi umefanyika muda huu.![]()