Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mapemaaaaaaa kabisa nishaweka jiwe la msingi.

Uzinduzi umefanyika muda huu.
19437f54c057651375c172574349b45a.jpg
Safi sana! Ila mbona hujamuua simba? Isitoshe stake yako imekuwa ya kinyonge sana. Weka mzigo hadi Mhindi aogope.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu: kamikaze @Isangelo, Yaleyale ,Poluyakhtov ,kipumbwi ,@kamikazena wengineo kwanza niwaombe radhi sana tena sana kwa kitabu nilichowatumia, nimechanganya mafaili, hicho nilichotuma ni kwa level ya Cambridge, lengo langu ilikuwa niwa tumie kitabu simple cha kurasa 30 tu ambacho nusu saa umemaliza kusoma na kiingereza chake ni rahisi sana.
NARUDIA TENA KUWATUMIA KITABU CHENYEWE UPYA, Asante sana kwa kunivumilia
 
Siyo mbaya na hicho kitasaidia
 
Back
Top Bottom