Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

uliweka kwa njia gani na ulitaka kutoa kwa njia ile ile?
niliweka kutumia kadi yangu ya NBC kuweka ni simple haraka sana fedha inaingia kwenye akauti sasa alikuwa ananila tuu kila siku na nilikuwa sijawahi kutoa sasa nilipombahatisha kidogo nikataka kutoa ndipo nikakutana na kesi kwanza kama una bonus haikubali hata kuhamisha fedha kwenda kuthibitishwa, nikashauriwa kufunga akaunti ya bonus baadaye nikajaribu kutoa ikakubali na ikahama kutoka kwenye main account yangu kwenda pennding aproval baada ya masaa kadha fedha ikawa rejected ikarudi kwenye akaunt ya betting mpaka sasa naiona hiyo hele kama virtual number wala sii hela kwani nimeshindwa kabisa kuitoa
 
[emoji124]
Screenshot_20190201-221419.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji salio 1xbet nicheck nikutumie kea pesa

nahisi kuna baadhi ya bank hazipokei hela kutoka betting company, sijui kwa nbc lakini
 
Nimewasiliana na NBC wamesema hawana shida yoyote ndio maana kutuma inawezekana. Niliwahi kujaribu equity wao hwataki kabisa na haiwezekani hata ku depost ukishaandaka neno la bet tuu haikubali
 
Back
Top Bottom