Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Acha tunyoshwe maana tunapiga kelele kuwa tuna timu ya kucheza popote.Hiki n kiburi chasimba tuu kule CAF Kuna fomu huwazipo ukiona game huiwezi au wachezaji wako Jana yake walishinda club unaenda kwenye website ya CAF unalogin unaijaza alafu unasubmit Basi unakuwa umepewa point 0 jamaa wanachukua point 3 na goli 3 sa sijui Simba kwann walishindwa kufanya hvyo