dreamer sam
Member
- Jul 29, 2015
- 31
- 26
Yapyap huo ndio ukweli haswa wakenya wezi sana wanajifanya wanauza fixed matapelii sanaa na wanigeriaaFixed games zipo nyingi ila ni za ulaya, Germany, Turkey na Eastern Europe ndio wanafanya sana hii but wenye mitaji mikubwa ndio wanajihusisha zaidi. Game moja wanastake hadi dola 100,000/= afu hawa jamaa wakikupa game ya fixed unawalipa baada ya kula mkwanja.
Ukikutana na wale wanaokwambia toa elfu kumi wakupe fixed matches kimbia hao ni matapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app