Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Hivi unatumia Bet pawa ya nchi ganiHIZO TKT TATU TUMESHARE JANA WALIOFWATA CONGS
View attachment 1011233
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unatumia Bet pawa ya nchi ganiHIZO TKT TATU TUMESHARE JANA WALIOFWATA CONGS
View attachment 1011233
Wapigie mzeebabaBetpawa wanazingua nimedraw toka jana saa 4 usiku hadi saa hii hawajaniwekea mzigo wangu
Nimewa whatsap naona wanasoma tu hawajibu
Kuna namna mweye uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba umekula 400k dah naona siku iko poa sanaHabari
Jamani wale wazee mnaotumia 1xbet naombeni mnitoe wasiwasi hivi ukidraw pesa kupeleka NMB inatumia muda gani maana toka saa saa tatu asubuhi na imeprove lkn mpaka sasa bengi hakuna kitu
Sasa ninawasi wasi wa kuibiwaView attachment 1006846
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaahaaKAMA HUNA BAHATI HUNA HII NDIO BETTUNG HATA UPIGW MAKELELE UTAZIPELEKA TU KWA MHINDII
SHIMAMOOO SHANGAZI TIPS
⚽⚽⚽📞📞📞⚽⚽⚽
*Australia:*💵🦅
Perth Glory vs Wellington Phoenix
1+2.5 2.00
✅✅✅✅✅
1(-1)H 2.30
✅✅✅✅✅
*For the Brave again!*💵🦅🦅
*SEH CHANGAZ🇿🇼✍🏼*
🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼
KOROBOIIII ENDELEENI KULIALIAAAAAAAA PYUUUUUMNAKUFAAAA
Mi huwa napenda kuziona tuu kwa macho zinatia moyo na mzuka wa kutaka kujaribu ila confidence ndo tatizoHahaaa huwa zinafurahisha Mkuu. Kuna watu hawazipendi.
UKIONA HAYA MAJINA JARIBUMi huwa napenda kuziona tuu kwa macho zinatia moyo na mzuka wa kutaka kujaribu ila confidence ndo tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tufungwe 4 bhana ujue jana nimeweka hamsini kuwa zipatikane bao 4.
Hahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kupata vituko kama hivi bonyeza *Yes we Can*.
Hapa kuna goli kipindi cha kwanza, ni timing tu ... View attachment 1011575
Sent using Jamii Forums mobile app