Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

#BOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOM

KAMA UJATOA GUNDU KWA AUSTTALIA LEO PUMZIKA KIDOGO

ATQ1W

17385 Central Coast Mariners FC - Melbourne Victory
x
DC +O/U (2.5)
Mark: X2 + Over
1.85 ✅✅✅✅✅
17401 Adelaide United FC - Brisbane Roar FC
x
Double chance
Mark: 1X
1.10 ✅✅✅✅✅

Total Odds
2.04 ✅✅✅✅✅

🍏DANNY🍏

T.me/Dannytips

CONGS WALIOCHEZA KIZURI.KULANMA NDIGUYOO
 
Haya wazee wa kufumba macho twenzetu hapo ni double chance simba ishinde au idroo ODDS 5.3500... Tuweke mzigo harafu tusubir matokeo....
Screenshot_20190202-142204.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIGH STAKE GAME

bayern-2x (germany)
Yeni-1x (turkey)
Porto u19-1 (portugal)
Chelsea-1 (eng)
Zagreb-1 (croatia)
Juventus-1 (italy)
Young boys-1 (switz)
Olympiacos-1 (greece)
Apoel Nicosia-1 (cyprus)

Total odds
5.78
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mechi zote hizo odds 5.7
Halafu mechi moja tu ya simba ashinde au adroo kapewa 5.3
Kubeti kutatuua ila mimi naenda msimbazi nipigwe tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubet ni probability mkuu, yaan tuna baatisha kula au kuliwa... Tushaziamini timu kubwa na tukaliwa, na pia tushaweka kwa timu ndogo pia tukaliwa na kinyume chake ndio hivyo hivyo...kubeti ni imani yako na pesa zako.... Kula na kuliwa ni sehemu ya kubeti... Hivyo ni mtu mwenyew ndio anachagua. Wakati wewe una hofia kuna watu washamuekea simba tena ni straight win na wapo wa droo, na wakina sisi tupo na double chance... So anything can happen in football WDL....
Acha kutupa hela. Simba hawezi kushinda wala kutoka draw.

Tatizo tunabet kishabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ivi wadau izi correct scores wanazoita fixed matches za kulipia hwa ni za kweli au ndyo matapeli hawa
Fixed games zipo nyingi ila ni za ulaya, Germany, Turkey na Eastern Europe ndio wanafanya sana hii but wenye mitaji mikubwa ndio wanajihusisha zaidi. Game moja wanastake hadi dola 100,000/= afu hawa jamaa wakikupa game ya fixed unawalipa baada ya kula mkwanja.

Ukikutana na wale wanaokwambia toa elfu kumi wakupe fixed matches kimbia hao ni matapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom