Hii mechi ya Adelaide ilikuwa ya kuvuna aisee, bahati imenipita magoli manne first half + gg first half hilj lilikuwa bomu la maana. Aisee
Hili jukwaa n zuri Sana ila Kuna mtu mmoja tuu ndo anaharibu jukwaa hawez kwenda na mtiririko wa currently status Yan anavuruga sijui n kusoma na kuandika hajui naona Kaz yake n kupest tuu ebu ajirekebishe basii
We jamaa una bifu na 'matakataka tips' sio bure....binafs naingia humu kwa ajili ya matakataka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio kufanikiwa...chomoa tip kadhaa zichanganye na zako au beba kama zilivyo au ziedit kidogo tupia stakePamoja mzee nimekoma ila mtanipa majibu ya kufanikiwa.
Duuh ... odds zilikuwa 7.7, wakati natupia jamaa wanapata goli la pili zikashuka ghafla mpk 3.3
Nahisi hii mhindi kaumiaDuuh ... odds zilikuwa 7.7, wakati natupia jamaa wanapata goli la pili zikashuka ghafla mpk 3.3
Nilimpa kwa handicap ilipokuwa htDuuh, 3-3 daadeki ... Half time huyu Adelaide alikuwa na odds 19. Mungu wangu
View attachment 1011377
3-3 nowDuuh ... odds zilikuwa 7.7, wakati natupia jamaa wanapata goli la pili zikashuka ghafla mpk 3.3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna mtu aliwahi kuniambia "Usipambane na kitu ambacho hakina madhara kwako, kikiwepo au kisipokuwepo"We jamaa una bifu na 'matakataka tips' sio bure....binafs naingia humu kwa ajili ya matakataka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko nasikitika tu hapa na kujilaumu juuDuuh, 3-3 daadeki ... Half time huyu Adelaide alikuwa na odds 19. Mungu wangu
View attachment 1011377
3-3 now