Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nadhani mbinu ya live betting ndio suluhisho aswaa kubet magoli Lakini hizi direct win tutamchangia sana Mhindi. Isitoshe kuna wanaume wenzetu wanalipia mkwanja kwa Marefa mechi ziwe wanavyotaka wao ili wapige hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afazali rangers wameokoa mtaji wangu aiseee kichwa kilipata mito maana borrusia leo wamesepa na faida yangu yote niliyoipata toka asubuhi 70k
Screenshot_2019-02-02-19-40-28.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broo akili iliganda yani adi saivi siamini kilichotokea kwa bayern na hawa washenzi borrusia wameninyima hela ya kula wiki nzima
Mzee baba naona mpaka unakosa kuandikaa kila saa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]kanji sio poaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haa ha...pole mkuu!! Buddy nae kale kalaki akikaa vibaya atajutaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, nishaitoa long time na service ya gari nimeshafanya. Nmetoa filter, badili oil ... saafi kbs.

Nasubiri 3+ ya Al Ahly tu nivute 250K mkeka wa toka jana, maana nlikuwa nawasubiri AS Vita & All Ahly.
Hii weekend naona inaelekea kuwa nzr sn.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahahahahha safiiiii kaka apo lazima iwe nzuri me nimeponea chupuchupu leo kutolewa njee ya game yani narudi kuoga nakuta rangers kaweka mtu ma4
Hahaha, nishaitoa long time na service ya gari nimeshafanya. Nmetoa filter, badili oil ... saafi kbs.

Nasubiri 3+ ya Al Ahly tu nivute 250K mkeka wa toka jana, maana nlikuwa nawasubiri AS Vita & All Ahly.
Hii weekend naona inaelekea kuwa nzr sn.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, nishaitoa long time na service ya gari nimeshafanya. Nmetoa filter, badili oil ... saafi kbs.

Nasubiri 3+ ya Al Ahly tu nivute 250K mkeka wa toka jana, maana nlikuwa nawasubiri AS Vita & All Ahly.
Hii weekend naona inaelekea kuwa nzr sn.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umetoa safi mkuu maana..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom