Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
BooomMimi nakufa na Genk
BooomMimi nakufa na Genk
Jilipue halafu fumba machoView attachment 1011871
AISEEE...Jilipue halafu fumba machoView attachment 1011871
Unamsulubisha sana kanji atakua akiona slip yako pumbu zinaanza kumuwasha
Leo nimepoteza 45000 na nadunda tu. Wewe 2500 kilio!.[emoji23][emoji23][emoji23] mpaka ifike ngapi mkuu, nipeni muongozo
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Kila kilio na mliaji wake. Akija kuliwa laki anaweza kufa.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Shauri yao, ila odds zilikuwa tamu jana.Hii match ya simba imeliza watu (wazee wa kubeti) kuliko mnavyofkiria,..amini maneno yangu
Weng wameweka stake mke hapa kwenye 5.5over
Sent using Jamii Forums mobile app
Big up Mkuu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Simbaaaaaaa.
Aisee...Nenda kwa Juve mwendo Wa over
Nimesha hesabuu...navizia tenaAngalieni Aves Vs Braga.. naona kama vile pesa hii.. ila odds bado hazijachangamka