Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Pole mkuu, ila wewe unajua kutandaza mikeka maana risk ni ilikua ndogo kwa huo mkeka. Mimi nimezoea odds za kuanzia mbili mechi moja kama united leo
Pole mkuu, ila wewe unajua kutandaza mikeka maana risk ni ilikua ndogo kwa huo mkeka. Mimi nimezoea odds za kuanzia mbili mechi moja kama united leo
Hawa sofascore huwa wanachelewa.....tumia flashscore japo flashscore kuna game huwa hawaweki... mimi sofascore naitumia pia kuchek annalysis ya mechi zilivyoHawa bet pawa ni wahuni wanaongeza vikapu hawa kumbe ndio maana tunaliwa kila leo washenziiiView attachment 1011982View attachment 1011983
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana mkuu n kutulia tuHakuna kitu kinachonishinda kama kutabiri droo. Hongera mkuu
Weka mkeka hapa Mkuu nitafute ela ya kumalizia wkend. Nataka odds 15 niweke teni maisha yaende
Tega tego..
Australia Basket hiyo game ni saa 3 asbhView attachment 1011985View attachment 1011986
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba sana Melbourne apate magoli ya haraka, tumalize kazi inplaySauti kutoka Uarabuni inaniambia leo Sydney anashinda mapema sana.
Tumwamini kama vipi.
Sauti kutoka Uarabuni inaniambia leo Sydney anashinda mapema sana.
Tumwamini kama vipi.
Kubadilika odf sio kwamba geme ngumu ila muhindi anabalance tu asiliwehiyo game n ngumu sana make odds zinabadilika mnoo mkuu
Tayari moja bila.hiyo game n ngumu sana make odds zinabadilika mnoo mkuu
[emoji16] [emoji16] [emoji16].Kila nikifanya analysis mikeka inachanika, leo sichambui