Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yesterday hyo
Screenshot_20190202-130413.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salama ndugu zangu
Naombeni msaada mwenye namba ya costomer care PremierBet,,nme deposit hela elfu hamsini 50,000/= tangu jana asubuhi had had leo hela siion na huku kwenye tigo inaonekana ishatoka na sms wamenirudishia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Porto huwa wangese sanaa ndio zao hz kuchanisha mikeka kijinga jinga km celtic
 
Back
Top Bottom