Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

CHAKULALIAAA

*b8dhx*

_2 odds_

Alba Berlin - KK Partizan
1X2: W Alba Berlin
1.4
Universidad Catolica de Murcia - Banvit
1X2: W Universidad Catolica de Murcia
1.46

*mr opulence*
 
Wakuu nasikia void huwa analiwaga zaidi ya laki tisa kila cku ila hawezi kusema ata post tu pale akiotea
Daah uyu jamaa ana pata shida nasikia akijaribu kuacha kubet hawezi ad sasa ameanza kudokoa pesa home ili abeti na wanataka kumfukuza kwao...nimeambiwa na mtu wake wa karibu sana jamaa anashida


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We umekuwa kama mtoto wa kike, hizo habari ni private hazituhusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana iyo anatengeneza zaidi ya laki tisa kwa siku kupitia ishu nyingine,maana laki tisa per day ni ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HT X
MAXBET FT X
CS 0-0/1-1
INPLAY
 

Attachments

  • Screenshot_20190206-001249.png
    15.6 KB · Views: 48
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…